
Jipya kutoka kwa Toni ni kuhusu kitabu cha maisha yake kama Msanii, mke, mgonjwa na Mama wa mtoto mgonjwa. Braxton ameingia mkataba na kampuni ya kuchapisha vitabu ya Harper Collins ilikusimamia uandishi na uchapishaji wa kitabu chake cha ‘Unbreak My Heart’ kitakacho weka wazi maisha ya Toni Braxton.
Kitabu kitaitwa Unbreak My Heart moja ya wimbo mkubwa uliofanya vizuri sana kwenye nyimbo za Toni mwaka 1996 na kitabu kitatoka May 2014.
0 comments:
Post a Comment