Jina lake ni Fatma Hassan aka DJ Fetty,
moja ya Watangazaji ambao wamepata majina makubwa sana TZ na East
Africa kutokana na kazi ya Utangazaji ambapo ana mchango mkubwa pia
kwenye muziki wa Bongo Fleva kama Mtangazaji wa show ya Entertainment, XXL ya Clouds FM.
September 15 2015 Show ya XXL inaandika Historia nyingine tofauti ambapo DJ Fetty ametangaza kuacha kazi ya Utangazaji na kuingiza nguvu yake zaidi kwenye masuala ya Biashara… wakati Fetty anatangaza hivyo, presenter mwingine pia Kened the Remedy ameungana na Timu ya XXL kwa mara ya kwanza.
Ndani ya Studio ya Clouds FM, hapo yuko Kennedd, Adam Mchomvu, DJ Zero, B Dozen na DJ Fetty.
Home / Uncategories / Picha 5 kutoka ndani ya Studio ya Clouds FM wakati DJ Fetty anatangaza kuacha kazi ya utangazaji…
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment