Mwigizaji Lord Richard [Babu Wa Jurassic Park] Afariki Dunia

Mshindiwa wa tuzo mbili za Oscar mwigizaji Lord Richard Attenborough amefariki Uingereza akiwa na miaka 90. Richard ulimuona kwenye filamu kubwa duniani kama The Great Escape na Jurassic Park. Richard amekuwa mwongozaji wa filamu wa muda mrefu na filamu aliyoongoza ambayo ilikuwa kubwa sana ni Gandhi ambayo ilimpa tuzo mbili za Oscar kama mtayarishaji bora mwaka 1983 na ni filamu bora iliyorekodiwa ambayo pia ni Gandhi.

babu 

Hapa ilikuwa kwenye Jurassic Park part 1

babu 2 

Richard amehusika kwenye filamu nyingine kubwa kama Doctor Doolittle , The Sand Pebbles, A Chorus Line na Cry Freedom iliyohusu vita dhidi ya apartheid na maisha ya mwanaharakati Steve Biko huko Afrika Kusini

babu 3

 


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment