Sorry Mrs. Carter ni nyimbo kwa familia ya Jay Z



Dada huyu ameamua kuimba nyimbo hii kufikisha ujumbe kwenye familia ya Jay Z na kudai kuwa Jay Z aliwahi kumuomba namba yake ya simu na kutaka kuwa na mausiano nae ya kimapenzi lakini yeye alimkataa Jay Z. Bonyeza play kuangalia video hiyo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment