#PICHA: Katika Ulinzi na Kificho cha hali ya Juu, Hivi Ndivyo North West.. Mtoto Wa Kim Na Kanye Alivyoonekana Kwa Mara Ya Kwanza Hadharani Jana

Kanye West, Kim Kardashian pamoja na Baby North West kwa mara ya kwanza wameonekana hadharani pamoja kama Familia, huku wawili hawa wakiendelea kumuweka mtoto wao mchanga mbali kabisa na Camera za Mapaparazi.

Mastaa hawa pamoja na mwanamama ambaye anaaminika ndiye mtunzaji na mwangalizi wa karibu wa mtoto huyu walionekana pamoja ambapo mtoto alifichwa katika pack ambayo ni seat maalum ya watoto wachanga kwenye gari, na hii ilikuwa ni katika mtoko wa kuelekea katika kituo cha afya kuangalia mahitaji  ya hapa na pale.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment