Top 2 Ya Ma-DJ's Wanaolipwa Pesa Nyingi Zaidi Duniani Kwa Mwaka Huu, Na Kiasi Cha Pesa Walichotengeneza Pia

1. Calvin Harris - $46 million [74,267,000,000Tshs]                           
Huyu ndio top DJ... wa kwanza kwa kulipwa pesa ndefu duniani kwa mujibu wa Forbes, king wa kuspin/scratch/mix electronic dance, Ndani ya
kipindi cha miaka miwili anatajwa kusaini mikataba ya kupiga mziki kwenye shows kubwa zaidi ya 70.. dili za pesa ndefu, Mbali na U-DJ pia ni Producer na Mwandishi wa nyimbo ambaye amekwishapiga kazi na mastaa kama vile Rihhana, Katty Perry na wengine.
 
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment