HII INAWEZA KUWA BAHATI MBAYA KWA LULU, HII NDIO INAWEZA KUWA SABABU MOVIE YAKE ISIZINDULIWE MWEZI HUU KAMA ILIVYOKUWA IMEPANGWA

Filamu ya Foolish Age ya msanii wa mwenye mvuto zaidi Elizabeth Michael "lulu"
imekwama kwenye bodi ya ukaguzi wa filamu na michezo ya kuigiza baada ya kukutwa na picha zilizo nje ya
maadili ya kitanzania,filamu hiyo ilipangwa kuzinduliwa 30 mwezi huu pale mlimani city inaitaji marekibisho chanzo chetu kilibaini
kikwazo kilicho ikumba movie hiyo ni matumizi ya nguo fupi kupita kiasi kwa washiriki wa movie hiyo.
Movie hiyo inatarajiwa kufanya vizuri zaidi itakapoingia sokoni kutokana na umaarufu wa lulu.Aliyejichukulia
Tuzo ya msanii bora wa kike 2013 kupitia Tamasha la filamu kimataifa ZIFF Katika kipengele cha Bongo Movie kilichopewa jina la Zuku Bongo Movie Awards

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment