Unajua Alichosema Toni Braxton Baada Ya Tukio La Kukatikiwa Na Kivazi Jukwaani, Fahamu Hapa

Baada ya tukio la kuharibikiwa na kivazi chake akiwa jukwaani hivi karibuni, Mwanadada Toni Braxton hatimaye amezungumzia tukio hili na kukiri kuwa, kiukweli alijisikia vibaya/kuaibika lakini kutokana na uwezo wake mkubwa alifanikiwa kuweka mambo sawasawa.

Toni Braxton amesema kuwa kwa nafasi yake aliweza kufanya tukio hili kuwa sehemu ya show na aliona kuendelea na show ni kitu cha muhimu zaidi, na angejua angepandisha bei juu zaidi bei ya tiketi za show hii.


Braxton amesema kuwa alikuwa na bahati vile alikuwa ana kivazi kingine ndani na pia kivazi chake kilichozingua hakikukatika chote na kudondoka kabisa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment