Msanii Ariana Grande na rapper Big Sean wamethibitisha kuwa ni wapenzi baada
ya kupigwa picha wakipeana busu ndani ya Universal
Studios
huko Hollywood, Ariana mwenye miaka 21 na Big Sean ’26’ wamekuwa
wakificha mahusiano yao kwa muda sasa ila kwa sasa ushahidi wa picha
umeweka wazi mambo yote.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment