Man Utd: Di maria amefika jijini man utd mchana wa leo

Huku taarifa tofauti zikienea kuhusu usajili mkubwa wa Angel Di Maria kutoka Real Madrid, Leo Manchester United imecheza na Sunderland kwenye English Premier League na kutoka sare ya mabao 1-1. Wachambuzi wa soka wanasema ujio wa Louis van Gaal lipigiwa mahesabu kuwa Man United walitakiwa kwa sasa wawe na Point sita na sio moja waliyonayo sasa.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment