Kuhusu Kukamilika Kwa Album Ya Dr Dre’Detox’

Mtayarishaji wa muziki mkongwe duniani Dr Dre amezungumza kwenye mahojiano na jarida la XXL kuhusu kukamilisha album yake aliyosema ni ya mwisho album ya Detox. Dre anasema anatumia muda mwingi studio huko mjini Detroit na rapper Eminem ilikukamilisha album hii mapema iwezekanavyo. Dre anasema anatumia nguvu nyingi sana nje na ndani ya studio kukamilisha hii album iliamalizane na nja ya mashabiki. Ni miaka kumi sasa toka Dr Dre azungumzie album ya Detox ila mpaka sasa kazi zilizotoka ni chache ikiwemo Kush ,I Need A Doctor Ft Eminem na Under Pressure Ft Jay Z.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment