Cover La Wimbo Mpya Wa Nicki Minaj Linalozungumziwa Zaidi Mtandaoni

Nicki Minaj ni miongini mwa wasanii wa kike ambao hupenda kutengeneza attention na kiki kubwa kabla kazi yake kutoka na kuingia mitaani. Sasa jipya ni kuhusu cover la wimbo wake mpya “Anaconda”. Picha ya cover hili inamuonyesha Nicki akituonyesha umbolake kwa nyuma huku akiwa amevalia nguo ya ndani aina ya g-string, bra ya michezo na Jordans miguuni.
Kazi mpya inatoka Jumanne ya July 28.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment