Toni Braxton Kuweka Maisha Yake Wazi Humu.

Msanii wa muziki wa Rnb Toni Braxton yuko tayari kuweka mambo yote wazi kuhusu maisha yake kupitia kipindi cha  Braxton Family Values kitakacho rushwa na kituo cha Tv cha WE.

Jipya kutoka kwa Toni ni kuhusu kitabu cha maisha yake kama Msanii, mke, mgonjwa na Mama wa mtoto mgonjwa. Braxton ameingia mkataba na kampuni ya kuchapisha vitabu ya Harper Collins ilikusimamia uandishi na uchapishaji wa kitabu chake cha ‘Unbreak My Heart’ kitakacho weka wazi maisha ya Toni Braxton.

Kitabu kitaitwa Unbreak My Heart moja ya wimbo mkubwa uliofanya vizuri sana kwenye nyimbo za Toni mwaka 1996 na kitabu kitatoka May 2014. 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment