MATA ATUA MAN U KWA DAU LA £37M

Photo: MATA ATUA MAN U KWA DAU LA £37M

Kiungo wa Chelsea Juan Mata amesajiliwa na klabu ya Man Utd kwa dau la paundi mil 37. Mata anatarajiwa kufanya vipimo kabla ya kutambulishwa rasmi kwa mashabiki wa klabu hiyo. Taarifa kutoka DailyMail zinasema kocha wa Chelsea Jose Mourinho ameshasaini makataba wa kumuuza mchezaji huyu kwenda Man Utd licha ya kuwa mashabiki wa Chelsea hawajapendezwa na kuuzwa kwa mchezaji huyu.
Mata anatarajia kutambulishwa wikiendi hii na ataweza kucheza mechi yake ya kwanza akiwa na United dhidi ya Cardiff City siku ya jumanne.Kiungo wa Chelsea Juan Mata amesajiliwa na klabu ya Man Utd kwa dau la paundi mil 37. Mata anatarajiwa kufanya vipimo kabla ya kutambulishwa rasmi kwa mashabiki wa klabu hiyo. Taarifa kutoka DailyMail zinasema kocha wa Chelsea Jose Mourinho ameshasaini makataba wa kumuuza mchezaji huyu kwenda Man Utd licha ya kuwa mashabiki wa Chelsea hawajapendezwa na kuuzwa kwa mchezaji huyu.
Mata anatarajia kutambulishwa wikiendi hii na ataweza kucheza mechi yake ya kwanza akiwa na United dhidi ya Cardiff City siku ya jumanne.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment