
wiki mbili nyuma palikuwa na story kuwa rappers Lil Wayne na Nicki Minaj
wameanzisha mahusiano ya kimapenzi na kuwa Minaj amepata ujauzito wa
Wizzy, baadae ilikuja kugundulika kuwa zilikuwa ni gossip tu.
Jipya limeibuka kuwa wawili hawa wanaonekana kuwa
karibu hivi karibuni kwenye mambo tofauti wanayofanya. Jana usiku katika utengenezwaji wa
video
ya remix ya YG Ft Young Jezzy na Rich Homie Quan “My Ni**a” walionekana
wakiwa karibu sana na kujitenga na masta wengine waliokuwa kwenye
shooting hio kama Meek Mill .



This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment