INTERVIEW SESSION:MAHOJIANO NA KISS TV NA WAANDISHI TOKA MAGAZETI MBALI MBALI YA KENYA

Hii ni sehemu ya pili,ya mahojiano na media mbali mbali
Hapa Nairobi,baada ya kufanya mahojiano na
 Tuva wa Mambo mseto..nilifanya mahojiano na
 
Kiss Tv kisha nikafanya na waandishi kutoka vyombo vingine  vya habari
waliokuwa wakinisubiri nje...
kama ilivyokuwa kwenye mambo mseto...kikubwa
 walitaka kufahamu kuhusu mipango yangu ya baadae
kimziki,collabos,na maisha yangu..
Director wa kipindi,Kiss Tv akiniwekea Mike
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment