Picha, Mpenzi Wa Chris Brown 'Karrueche' Amtembelea Chris Brown Rehab. #RideOrDieKindOfLove

Ata baada ya kugombana na kuachana nae na kurudiana na Rihanna, Bado Karrueche anampenda sana Brizzy kiasi cha kwamba yeye ndio mtu moja tu aliye mtembelea Chris Brown wakati yupo Rehab kwenye siku ya Thanx Giving. Hii inaitwa Ride Or Die Kind Of Love.


                           
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment