Kutoka Instagram Ya Peter Wa P-Square, Baada Ya Kupiga Showz Za Ukweli Hivi Ndivyo Wasanii Hawa Walivyoamua Kufanya Kufuru Kutumia Pesa Zao Huko Marekani

Wasanii wa P-Square kupitia account ya Instagram ya peter okoye, wameweka picha ambazo zinawaonyesha wakiwa katika Club ya Ma-Strippers (Wanawake Wanaocheza Uchi) katika kile kinachoaminika kuwa moja ya njia za kujipooza na kujiburudisha baada ya kazi nzito ya kuwatumbuiza watu huko Marekani.

 Kutoka kwa picha hizi ambazo zinawaonyesha wakizitumbua pesa walizozitolea jasho kihalali, kumezuka maoni mengi na mitazamo tofauti kutoka kwa mashabiki wa wasanii hawa... ambapo pia wewe kama mmoja wao unaweza kuona hapa na kutoa mtazamo wako.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment