Diamond Platinumz Kuwaacha Wapenda Burudani Midomo Wazi Kwa Mara Nyingine leo, Hivi Ndivyo Alivyopanga Mashambulizi

Hivi ndivyo 'mnyamwezi', Diamond Platinumz alivyojipanga kutoa kazi yake mpya ambayo mpaka sasa mitaa inakodoa macho kuona itakuwaje.



Video hii itaonyeshwa ka mara ya kwanza leo tarehe 29 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, katika tukio ambalo linatarajiwa kuandika historia mpya katika ulimwengu wa burudani.



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment