Cheki Mtoto Wa Diamond Anavyozidi Kukua!! Congrats Zari & Diamond

Mpaka sasa hakuna ambae hajui kwamba mpenzi wa  “Number One” hit maker from East Africa Tanzania Diamond Platinumz Baby..Zari Hassan kwamba anayo mimba. Wiki iliyopita kulikuwa na ripoti ya kwamba mimba hiyo aliyobeba Zari sio ya Diamond Platinumz habari zilizoenea katika local news blogs na alionekana kutosumbuliwa kabisa na uvumi pia Diamond hakushtushwa kabisa kwa sababu wanajua kinachoendelea.

Hizi taarifa ziwe za ukweli au uongo au ziwe kama zinaeelekea kuwa na ukweli zote ni uongo na maongezi yanaongewa na haters kwa sababu kinachoonekana kinaonekana.
Pia Zari haogopi kuonyesha tumbo lake akiwapa updates haters jinsi mtoto anavyozidi kukuwa, kuna siku ameamka siku yake ikiwa ameeezing akiwa amevalii nguo yenye rangi ya dark-blue imeandikwa “BRAT” kifuani lakini hiyo ni sehemu ya furaha yake na ndivyo jinsi alivyo.
Kupitia ukurasa wake wa instagram alishare picha ikiwa na maneno yenye ujumbe mzuuuri, hapo unaweza ukajifunza vitu viwili au komoja.
“When you keep that ambition high amazing things will happen for you. Trust me. If you woke up with no vision or ambition go back to sleep. Seriously!!
Last Week kulikuwa na rumors kwamba Diaomond wamefunga harusi kwa siri baada ya kuonekana picha Diamond akiwa amevaa suti nyeupe na Zari akiwa ndani ya shela ya bibi harusi.
Yote yanawezekana kwa sababu ni wapenzi wanaweza kufunga ndoa saa yeyote, siku yeyote, sehemu yeyote.
Wikiendi hiyo hiyo iliyoisha Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya IPP Reginald Mengi alifunga ndoa na Kylin former miss Tanzania huko Mauritius.



Unaweza Share popote.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment