Waziri wa mali hasili na utalii Mh. Lazaro Nyalandu akiongea na waandishi wa habari na wajasiriamali wa soko la vinyago liloungua moto mkoani,Arusha mara baada ya kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kupitia Tanapa ili ziweze kusaidia ujenzi wa soko hilo. Makabidhiano hayo yalifanyika hapo jana Mkoani Arusha.
Home / Uncategories / WAJASIRIAMALI WA SOKO LA VINYAGO LILILOUNGUA ARUSHA WAMSHUKURU WAZIRI NYALANDU
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
wamepewa M 100 we kalagabahooooooooooooo tu
ReplyDelete