Rapper mahiri kwa jina la Jay Z amezindua music streaming yake mwenyewe kwa jina la TIDAL. Mtandao huo utakuwa unatoa huduma za Audio pamoja na video zenye viwango vya juu online. Mpaka sasa TIDAL inapatikana kwenye nchi chache duniani, huku upande wa Africa ikiwakilishwa na South Africa pekee yake.
Je uko na maoni? share nasi
Je uko na maoni? share nasi
0 comments:
Post a Comment