Mcheza tennis Serena Williams
amemshinda Caroline Wozniacki nakushinda US Open kwa mara ya sita na
Grand Slam kwa mara ya 18 sasa. Serena ambaye ni namba moja duniani kwa
wanawake kwenye tennis amemshinda mpinzani wake kwa seti 6-3 6-3 .
Ushindi huu umemuweka namba nne kwenye orodha ya wachezaji walioshinda vikapi hivi mara nyingi zaidi kama Martina Navratilova na Chris Evert.

Ushindi huu umemuweka namba nne kwenye orodha ya wachezaji walioshinda vikapi hivi mara nyingi zaidi kama Martina Navratilova na Chris Evert.
0 comments:
Post a Comment