Wakati Bara la Afrika likisubiria kwa hamu kuanza kwa mashindano ya Big
Brother Tarehe 05 mwezi wa kumi , Watayarishaji wa show hiyo wameanza
kuwaonyesha baadhi ya washiriki watakaoishi kwenye jumba hilo akiwemo
kijana mwenye mvuto kutoka Tanzania , Idris Sultan. Kama ulikua haumjui
vizuri , Kijana huyu mwenye miaka 21 hivi sasa ni Designer ambapo
kabla ya kwenda kwenye Big Brother alikua akifanya kazi kampuni ya
i-views studio .
Katika interview yake Idris amesema kwamba anaingia kwenye jumba la big brother akiwa na kanuni zake za kumfanya asonge mbele na kuwafanya washiriki wenzake wamfuate pale wanapotaka kua inspired au wanapokua-down.

Kitabu anachokipenda Idiris kinaitwa Anything kilichoandikwa na Dan Brown na hupenda kuangalia Colbert Report, Drunk History, The Daily Show na he Ellen Degeneres Show kwenye TV. Idris anapenda kumsikiliza Chris Brown, Michael Jackson, Usher, Ed Sheeran, Sam Smith, Lana Del Ray na Nina Simone.
Kama ulikua hujui Jamaa ni mmoja wa madesigners waliokua wana-design vibe magazine pale i-views studio so jamaa hata sisi tunategemea atafanya vitu cya ukweli ndani ya Big Brother House..

Hadi sasa washiriki 6 tayari wmeshatambulishwa akiwemo Idris. Wengine ni hawa wafuatao…

sports? category? web design?..............havifunguki............!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete