Rapper Kanye West Na Mke Wake Kim wamenunua nyumba iliyopo kwenye
heka tatu na nusu huko Hidden Hills, Calabasas karibu na nyumba ya mama
yake Kim Kris Jenner. Tmz wameripoti kuwa K&K wametumi dola za
Kimarekani milioni 20 kununua nyumba hii ambayo awali iliyokuwa ikiuzwa
dola milioni 21.
Nyumba ina mabwawa mawili ya kuogelea na majirani wameipa jina “The
jewel of Hidden Hills.” Nyumba hii awali ilimilikiwa na mtoto peke wa
msanii Elvis Presley anaitwa Lisa Marie Presley.






Home / Uncategories / Picha,Kanye West Na Kim Wanunua Hili Jumba Iitaloweza Kumficha Zaidi Mtoto Wao
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment