Jipya limeibuka kuwa wawili hawa wanaonekana kuwa karibu hivi karibuni kwenye mambo tofauti wanayofanya. Jana usiku katika utengenezwaji wa video ya remix ya YG Ft Young Jezzy na Rich Homie Quan “My Ni**a” walionekana wakiwa karibu sana na kujitenga na masta wengine waliokuwa kwenye shooting hio kama Meek Mill .
Picha,Utengenezwaji Wa Video Ya Young Jezzy, Lil Wayne, Nicki Minaj Wamo.
-Jipya limeibuka kuwa wawili hawa wanaonekana kuwa karibu hivi karibuni kwenye mambo tofauti wanayofanya. Jana usiku katika utengenezwaji wa video ya remix ya YG Ft Young Jezzy na Rich Homie Quan “My Ni**a” walionekana wakiwa karibu sana na kujitenga na masta wengine waliokuwa kwenye shooting hio kama Meek Mill .
0 comments:
Post a Comment