SITTI MTEVU ALIVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014, LILIAN KAMAZIMA AMRITHI

                                                           Miss Tanzania wa sasa

Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga (kushoto) akionyesha barua ya Miss Tanzania, Sitti Abbas Mtemvu baada ya kujivua taji hilo.…


Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga (kushoto) akionyesha barua ya Miss Tanzania, Sitti Abbas Mtemvu baada ya kujivua taji hilo.
Miss Tanzania aliyechukua nafasi ya Sitti Mtemvu, Lilian Kamanzima akiongea na wanahabari (hawapo pichani)
Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) aliyechukua nafasi yake pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk.
“Shutuma hizo zimeandikwa katika vyombo mbalimbali vya habari, blogs na mitandao ya kijamii, kiasi ambacho naweza hata kuhatarisha maisha yangu. Sasa kwa hiari yangu tena bila kushawishiwa na mtu na kwa kulinda heshima yangu na familia yangu natamka rasmi kuvua taji la urembo la Miss Tanzania 2014,” ameongeza.

“Napenda niwashukuru wale wote waliokuwa wakinipa sapoti tangu mwanzo nilipoingia katika mashindano haya katika ngazi ya taifa, na warembo wote wa Chang’ombe, Temeke pamoja na wote tuliokuwa nao katika fainali za Taifa. Pia napenda kutuma shukrani za dhati kwa waandaji wote wa kituo cha Chang’ombe, Temeke na wajumbe wa Kamati ya Miss Tanzania kwa mafunzo mbalimbali niliyopata. Nawashukuru pia waandishi wote kwa mchango wenu, pamoja na Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo na Baraza la Sanaa kwa busara zenu.”

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment