Picha Ya Beyonce Yenye Mashairi Ya Jay Z Inayozungumziwa Zaidi Mitandaoni.

Muda mwingine mastaa hufanya kitu kutingisha mashabiki zao, haswa masta wa Marekani pale wanapokuwa na kitu kipya huanza na drama na kitu cha kushangaza watu. 

Kwenye picha hii ya Beyonce ameonekana na nguo ya kuogelea yenye mashairi ya wimbo wa Jay-Z yakiwa yamebadilishwa kuwa "99 Problems But My ass Aint One"
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment