Sam Smith Ang'ara Kwenye Tuzo Za MOBO 2014,Wimbo Wake Wa 'Stay With Me' Ulirudiwa Na Mtanzania Ben Pol

Msanii Sam Smith anaendelea kufanya vizuri baada ya kunyakua tuzo 4 kwenye tuzo za 19 za MOBO 2014. Msani huyu kutoka Uingereza ameshinda Best R&B/Soul Act, Best Male Act na Best Song kupitia wimbo wake wa “Stay With Me” Rapper Eve ndiye aliyemkabidhi tuzo ya Best Album kupitia album yake ya In the Lonely Hour.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment