Rekodi Mpya Aliyoweka Serena Williams Baada Ya Kushinda US Open Na Grand Slam.

Mcheza tennis Serena Williams amemshinda Caroline Wozniacki nakushinda US Open kwa mara ya sita na Grand Slam kwa mara ya 18 sasa. Serena ambaye ni namba moja duniani kwa wanawake kwenye tennis amemshinda mpinzani wake kwa seti 6-3 6-3 .
Ushindi huu umemuweka namba nne kwenye orodha ya wachezaji walioshinda vikapi hivi mara nyingi zaidi kama Martina Navratilova na Chris Evert.
serena 3



serena 4
serena 2
serena 5
serena


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment