Huyu ndio mwakilishi wa Tanzania Kwenye Big Brother Africa Mwaka Huu

Wakati Bara la Afrika likisubiria kwa hamu kuanza kwa mashindano ya Big Brother Tarehe 05 mwezi wa kumi , Watayarishaji wa show hiyo wameanza kuwaonyesha baadhi ya washiriki watakaoishi kwenye jumba hilo akiwemo kijana mwenye mvuto kutoka Tanzania , Idris Sultan. Kama ulikua haumjui vizuri , Kijana huyu  mwenye miaka 21  hivi sasa ni Designer ambapo kabla ya kwenda kwenye Big Brother alikua akifanya kazi kampuni ya i-views studio .

Katika interview yake Idris amesema kwamba anaingia kwenye jumba la big brother akiwa na kanuni zake za kumfanya asonge mbele na kuwafanya washiriki wenzake wamfuate pale wanapotaka kua inspired au wanapokua-down.




Idris-Sultan-big---brother-africa-Hotshots-vibe-co-tz
Kitabu anachokipenda Idiris kinaitwa Anything kilichoandikwa na Dan Brown na hupenda kuangalia Colbert Report, Drunk History, The Daily Show  na he Ellen Degeneres Show kwenye  TV. Idris anapenda kumsikiliza Chris Brown, Michael Jackson, Usher, Ed Sheeran, Sam Smith, Lana Del Ray na  Nina Simone.
Kama ulikua hujui Jamaa ni mmoja wa madesigners waliokua wana-design vibe magazine  pale i-views studio so jamaa hata sisi tunategemea atafanya vitu cya ukweli ndani ya Big Brother House..
Idris-Sultan-6
Hadi sasa washiriki 6 tayari wmeshatambulishwa akiwemo Idris. Wengine ni hawa wafuatao…
Big-Brother-Hotshots-2015-5-contestants-slider
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 comments:

  1. sports? category? web design?..............havifunguki............!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete