Christiano Ronaldo aungana na Lil Wayne, baada ya Wyane kuanzisha kampuni ya usimamizi wa michezo

Cristiano Ronaldo karibuni atakuwa  YOUNG MONEY CASH MONEY BILLIONAIRE ... kwasababu vyanzo vya habari vimeiambia Qper sports kuwa Lil Wayne anaanzisha kampuni yake mwenyewe itakayo kuwa iki manage sports na Roonald ndo atakae kuwa mteja wake wa kwanza. 
Chanzo hicho cha habari kinadaikuwa Weezy kitambo amekuwa akitaka kujiingiza katika game ya sports management na macho yake yote yalikuwa kwa mkali kutoka portugak Cristiano Ronaldo na si tu kwasababu ni nyota mkubwa katika michezo lakini pia ni kwasababu ni marafiki wakaribu tu.
 
Inasemekana kuwa kampuni ya Weezy itakuwa ikifanya kazi na POLARIS SPORTS…kampuni ambayo ina uhusiano na shirika la CAA pamoja na GestiFute ambazo zinaendeshwa na agent wa Ronaldo Jorge Mendes
Chanzo cha habari kiliendelea kudai uwa kampuni ya Wayne itaanaglia na kusimamia maswala yote ya michezo yanayomuhusu Ronaldo marekani kuanzia Branding mpaka kwenye upande wa masoko pamoja na endorsement deals mpaka hata  modeling.
Inaonekana Ronaldo amefurahishwa na kufaya kazi na Wayne, bada ya ku post picha akiwa Waziri Mkuu wa Japan pamoja na wanasiasa wengine na wote wakiwa waepoz na kutupia saini ya YMCMB

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment