INTERVIEW SESSION WITH MAMBO MSETO CHA RADIO CITIZEN KENYA

Leo ikiwa ni siku ya pili,tukiwa nchini kenya,ratiba yangu ilianzia 
hotelini kwenye gym kujiweka fit na baada ya hapo
mchana nilihitajika na media  

mbali mbali za hapa kwa ajili ya kufanya 
mahojiano,nilianza na kipindi cha Mambo mseto
 cha Radio citizen chini ya Mzazi Willy Tuva...ambaye
 alitaka kufaham mipango yangu kimziki
,next collabos,collabo na wanamzik wa Kenya
 na kuhusu maisha yangu kwa ujumla lakini pia..nilijibu maswali yaliyoulizwa live
na wasikilizaji  wa  Mambo mseto 
na wapenzi wa mziki wangu,...
 Safari ikaanzia Hotelini
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment