Nilikupa taarifa mapema week hii kuwa Mwana FA Na Ay watakwenda Kenya kufanya Kazi na producer Eric
Musyoka wa Decimal Media. Well studio session imeanza jama usiku,
Nimesikia mistari na beat ya Mwana Fa, Hio Joint Itakuwa Classic.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment