NEWS:ZICHEKI PICHA 3 FEZA KESSY AKILA STAREHE JIJINI DAR

Hii ni baada ya kutoka BBA the chase alipowasili Bongo tu ni mwendo wa kujimwaya
mwaya unaambiwa mtu kwao bwana,hiki ndicho kinajieleza hata kwenye picha hizi tat
nilizokuwekea hapa uzione,za mwanadada Fezza kessy juzi kati akitanua jijini Dar
na marafiki zake yani bata kila sehemu sehemu.....Zicheki hapa picha hizi lakini
ebhana eeeeh hiki kivazi alichokitupia...Doooh MATATA sana......!!!

                                           
 Muziki umemkolea mtoto wa Kessy........

 Busy na simu pembeni fezza kessy na mwanadada
Vanessa Mdee alievalia miwani
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 comments: