DJ Fetty: HEMED ASEMA LA MOYONI BAADA YA KUKERA NA MITANDANO MBALIMBALI

Msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie almaarufu kama PHD au Hemed,kama unakumbuka kipindi cha nyuma
kulikuwa na tetesi za hapa na
pale kwamba siku hizi ana tabia
ya kuingia katika maduka ya
nguo hasa yaKinondoni na kuchukua nguo bila kulipa,sasa
leo amekanusha na kusema
habari hizo si za kweli ni story
tu,kwani yeye anapoenda katika
duka mara nyingi anahakikisha
lazima atoe kiasi cha pesa ndipo aweze kuondoka na nguo
hizo.Baada ya kusema hivyo
alimalizia kwa kusema kwamba
angependa kuona mtu anaandika
habari nzuri kuliko kuandika
habari ambayo sio sahihi@info kamili by Hemed
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment